Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongea alipokutana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimsikiliza Wakili Onesmo Olengurumwa Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao alipokutana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye picha ya pamoja baada ya kufanya kikao na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Mei 07, ofisi za Bunge Dodoma.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongea na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu walipotembelea ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Bw. Michael Masanja akimkaribisha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kuongea na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, walipotembelea ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao alipokutana na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akiongoza kikao alipokutana na Viongozi na Watumishi wa Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, ofisi za Bunge Dodoma. Mei 07, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye picha ya pamoja na kikundi cha “Wanawake na Samia” kutoka Chamwino Mkoani Dodoma waliomtembelea Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli za Bunge, Mei 07, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kikundi cha “Wanawake na Samia” kutoka Chamwino Mkoani Dodoma waliomtembelea Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli za Bunge, Mei 07, 2024.