Upo Hapa: Kuhusu sisi Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
Kitengo ya Manunuzi na Ugavi | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF
MAJUKUMU YA KITENGO CHA MANUNUZI NA UGAVI

 1. Kutoa huduma za kitaalamu katika manunuzi, uhifadhi na ugavi kwa wizara.
 2. Kushauri uongozi kuhusu masuala yanayohusu manunuzi ya bidhaa na huduma.
 3. Kuhakikisha kuwa wizara inafanya manunuzi kwa kuzingatia sheria ya manunuzi na: 21 ya mwaka 2004.
 4. Kufanya manunuzi, kutunza na kusimamia vifaa na huduma zilizonunuliwa.
 5. Kuandaa mkakati wa manunuzi wa mwaka wa wizara.
 6. Kuhakikisha kuwa vifaa na huduma zilizonunuliwa zinapatikana kwa wakati.
 7. Kusaidia idara  na vitengo vinapata huduma na vifaa vinavyolingana na thamani ya fedha iliyotumika.
 8. Kuandaa taarifa na bajeti ya kitengo kwa mwaka.

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz