Upo Hapa: Kuhusu sisi Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Kitengo cha Tehama | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA

 1. Kutoa huduma za kitaalamu katika matumizi ya Teknolojia ya Habari kwa Wizara.
 2. Kutekeleza sera ya Serikali ya mtandao (e-government)
 3. Kuandaa na kuratibu utekelezwaji wa mfumo wa mawasiliano kwa kutumia kmpyuta (MIS).
 4. Kuratibu na kutoa ushauri wa kitaalamu katika maununuzi ya vifaa vya teknolojia ya habari.
 5. Kuhakikisha kuwa vifaa vya tekolojia ya habari vinatunzwa kwa matumizi endelevu.
 6. Kuanzisha na kuratibu matumizi ya mfumo wa mawasiliano ya barua pepe ndani ya wizara na mifumo ya LAN na WAN.
 7. Kufanya utafiti na kushauri maeneo ya kutumia Teknolojia ya Habari ili kuboresha ufanisi.

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz