Upo Hapa: Kuhusu sisi Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

 1. Kutoa ushauri kwa maafisa masuuli kuhusu namna bora ya kusimamia rasilimali.
 2. Kupitia na kutoa taarifa kuhusu namna bora ya kutumia na kuifadhi rasilimali fedha za Wizara.
 3. Kupitia na kutoa taarifa kuhusu uzingatiwaji wa kanuni na miongozo ya matumizi inayotolewa na mhasibu mkuu wa serikali ili kuwa na matumizi bora a fedha.
 4. Kupitia na kutoa taarifa kuhusu ubora wa mifumo ya kompyuta iliyopo katika kusimamia matumizi bora a fedha.
 5. Kupitia na kutoa taarifa kuhusu mifumo iliyopo Wizarani inayosimamia mali kama inakidhi mahitaji ya matumizi bora.
 6. Kuandaa mpango mkakati wa ukaguzi.
 7. Kuratibu shughuli za ukaguzi wa ndani.
 8. Kufanya ukaguzi kuhusu thamani halali ya fedha kwa huduma na bidhaa zilizonunuliwa.

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz