Upo Hapa: Kuhusu sisi Idara ya Sera na Mipango
Idara ya Sera na Mipango | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF

 

MAJUKUMU YA IDARA YA SERA NA MIPANGO

 1. Kuandaa, kupitia na kusimamia utekelezaji wa sera ya wizara.
 2. Kuandaa na kuchambua nyaraka za serikali (cabinet papers) kutoka katika Wizara nyingine na kutoa ushauri ipasavyo.
 3. Kuratibu uandaaji na kuandaa mipango ya bajeti kwa wizara (mpango wa mwaka, muda wa kati na mpango mkakati) na taasisi zilizo chini yake.
 4. Kusimamia utekelezaji wa Mipango na Bajeti na kutoa ushauri.
 5. Kuratibu  uandaaji wa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa majukumu ya wizara (taarifa za wiki, mwezi, kila robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima)
 6. Kuweka mfumo wa usimamizi wa ufuatiliaji na tathmini na kuweka vigezo vya kupima ufanisi wa wizara; (M+E System)
 7. Kufanya utafiti wa matokeo ya mipango, miradi na program zinazotekelezwa na wizara.
 8. Kuandaa miradi na program za wizara na kuandaa mikakati ya upatikanaji wa rasilimali.
 9. Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu masuala yote ya maendeleo ya nchi kiuchumi na kijamii yanayohusisha wizara yetu.

 

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz