Upo Hapa: Kuhusu sisi Idara ya Uhasibu na Fedha
Idara ya Uhasibu na Fedha
E-mail Print PDF
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UHASIBU WA FEDHA

 1. Kuthibiti na kusimamia matumizi bora ya wizara
 2. Kukusanya na kusimamia mapato kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya serikali.
 3. Kutayarisha hesabu za mwaka (annual final accounts)
 4. Kuandaa malipo ya mishahara kwa wakati
 5. Kuandaa na kuwasilisha orodha ya hati za malipo hazina
 6. Kutayarisha bajeti ya kitengo
 7. Kuchukua hundi za malipo kutoka hazina kwa ajili ya kulipa wateja
 8. Kutoa huduma za kifedha na hifadhi ya vitabu vya kumbukumbu  za fedha.
 9. Kuandaa kwa wakati taarifa za kifedha za malipo ya pensheni kwa watumishi waliostaafu.

 

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz