Upo Hapa: Kuhusu sisi Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Kitengo cha Habari na Mawasiliano | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF
MAJUKUMU YA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
 1. Kutoa huduma za kitaalamu kuhusu habari, Elimu na Mawasiliano kati ya Wizara na Umma pamoja na vyombo vya habari.
 2. Kuandaa na kusambaza vipeperushi, majarida kwa lengo la kuelimisha umma sera na maboresho mbalimbali yanaotekelezwa na Wizara.
 3. Kuratibu mikutano na waandishi wa habari.
 4. Kutoa habari kuhusu sera, programu na shughuli mbalimbali za Wizara.
 5. Kuratibu uandaaji wa taarifa za kisekta kwa ajili ya mikutano mbalimbali.
 6. Kushauri Idara, vitengo na idara zinazojitegemea katika kuandaa taarifa mbalimbali kwa ajili ya umma.

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz