Upo Hapa: Kuhusu sisi Idara Huduma za Kisheria Kwa Umma
Idara ya Huduma za kisheria kwa Umma
E-mail Print PDF
MAJUKUMU YA IDARA YA HUDUMA ZA KISHERIA KWA UMMA
 1. Kutoa huduma za kisheria kwa wananchi.
 2. Kutoa msaada wa kisheria (Legal Aid) kwa watu wa makundi ya watu wasio na uwezo katika mashauri ya madai ya jinai.
 3. Kutoa ushauri wa kisheria kuhusu miswaada inayoandaliwa na taasisi mbalimbali za serikali.
 4. Kushughulikia malalamiko mbalimbali juu ya utoaji haki kutoka kwa wananchi na taasisi mbalimbali.
 5. Kusimamia mfumo wa utoaji haki.

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

 • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
 • Barabara ya Mkalama,
 • Jengo la Taaluma Na. 1,
 • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
 • S.L.B. 315,
 • DODOMA.
 • Simu:+255 26 2321680
 • Nukushi: +255 26 2321679
 • Tovuti www.sheria.go.tz
 • Barua pepe: km@sheria.go.tz