Upo Hapa: Kuhusu sisi
Kuhusu Sisi | Wizara ya Katiba na Sheria
E-mail Print PDF

Karibu Wizara ya Sheria na Katiba:

Wizara ya Katiba na Sheria iliundwa mwezi Januari mwaka 2006 ikijumuisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kwa mujibu wa muundo uliounda Wizara wakati huo Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa pia Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.

Dira yetu

Kuwa taasisi ya mfano wa kuigwa katika usimamizi wa masuala ya katiba na sheria.

Dhamira

Kutoa huduma bora katika masuala ya katiba na sheria kwa kujenga mifumo madhubuti kisera na kisheria.

 

Matukio Mapya

Hakuna Tukio kwa sasa.

Anuani

KATIBU MKUU

  • Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria,
  • Barabara ya Mkalama,
  • Jengo la Taaluma Na. 1,
  • Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM,
  • S.L.B. 315,
  • DODOMA.
  • Simu:+255 26 2321680
  • Nukushi: +255 26 2321679
  • Tovuti www.sheria.go.tz
  • Barua pepe: km@sheria.go.tz