Watumishi wa Wizara wakijiandaa kushiriki kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakishiriki kwenye maandano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakishiriki kwenye maandamano wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Watumishi wa Wizara wakiwa uwanjani baada ya maandamano kuadhimisha ya Mei Mosi Kitaifa Jijini Arusha, Mei 01, 2024
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (katikati), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo kwenye picha ya pamoja baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25, Aprili 29, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Wizara na Taasisi zake waliohudhuria kikao cha Bunge, Aprili 29, baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo kwenye picha ya pamoja na Wakurugenzi waliohudhuria kikao cha Bunge, Aprili 29, baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara ya mwaka wa fedha 2024/25.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akisoma hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwasili Bungeni, mkononi ameshika mkoba uliobeba Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/25 Aprili 29, 2024.