Mkurugenzi wa Utajiri na Maliasilia Wizara ya Katiba na Sheria DCP Neema Mwanga akimkabidhi zawadi Bw. Alex Togo wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimpongeza Bw. Judica Nkya wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Mbaraka Stambuli akimkabidhi zawadi Bw. Eric Sezary wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi waliopewa zawadi kwa kupata watoto kati ya Januari hadi machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye hafla ya kuwapongeza watumishi wenzao waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Bw. Judica Nkya mmoja wa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria waliopata watoto kati ya Januari hadi Machi, 2024 akitoa shukrani kwa Viongozi na Watumishi wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi hao. Tarehe 17 Aprili, 2024 Mtumba.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akijibu maswali Bungeni Dodoma tarehe 16 Aprili, 2024.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu Shabani akitoa salaam na shukrani wakati wa iftar, tarehe 08 Aprili, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Khatibu Kazungu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mustafa Rajabu Shabani kwenye picha ya pamoja na Masheikh wengine baada ya iftar, tarehe 08 Aprili, 2024.
Naibu Waziri mpya wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia Watumishi wa Wizara hiyo alipopokelewa kwa mara ya kwanza Wizarani hapo, tarehe 08 Aprili, 2024 Ofisi za Wizara Mtumba Dodoma.