Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana wakati anaongea na Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa na Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi zawadi Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni wake Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo baada ya kufanya mazungumzo, Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Balozi wa Singapore nchini Mhe. Douglas Foo, kwenye picha ya pamoja na watumishi wengine walioshiriki kikao hicho Aprili 22, 2024 Bungeni Dodoma.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (kulia) akikabidhi zawadi kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akitoa salaam na nasaha kwa maharusi Bw. Furaha Lilongele na Bi. Dinah Njovu kwenye ya sherehe ya harusi yao Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watumishi wa Wizara waliofika kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini (mwenye mic), Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo, Viongozi wengine wa Wizara na Watumishi wakimpongeza mtumishi mwenzao Dinah Njovu wakati wa sherehe ya harusi yake na Bw. Furaha Lilongele, Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma.
Ilikuwa ni shangwe na nderemo kwa Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye sherehe ya kumpongeza mtumishi mwenzao Bi. Harusi Dinah Njovu. Mwenye mic ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini, kulia ni Katibu Mkuu Bi. Mary Makondo. Aprili 20, 2024 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Aprili 19, 2024 Mkoani Morogoro.